Maelezo la Darasa la Kiingereza ya Fall 2026

Tunatoa madarasa ya Kiingereza huko Alexandria na Fairfax.

Tafadhali chagua eneo unalotaka kusomea ili upate maelezo zaidi.

ALEXANDRIA

First Baptist Church of Alexandria

2932 King St, Alexandria, VA 22302

Ramani ya Google

Siku: Jumanne, Jumatano, Alhamisi  (siku ya pili, siku ya tatu, siku ya inne)

Wakati: Asubuhi 9:30 – 11:30 

Madarasa yanaanza: Septemba 15

Mwisho wa madarasa: Januari

Tunatoa huduma ya malezi ya watoto katika eneo hili

Maagizo ya Usajili ya Alexandria

Usajili wa madarasa utaanza tarehe 17 Agosti. Tafadhali rudi tarehe 17 Agosti ili kujisajili kwa madarasa. 

(1) Jaza fomu ya usajili wa wanafunzi.

(2) Ikiwa utaleta watoto wako darasani, jaza fomu ya usajili wa huduma ya malezi ya watoto kwa kila mtoto utakayemleta darasani.

(3) Tutakutumia ujumbe ili kupanga muda wa miadi ya ana kwa ana.

Katika miadi, tutakuruhusu usome na kuzungumza kwa Kiingereza ili tujue ikiwa tuna darasa nzuri kwako. Pia tutakupa habari zaidi kuhusu programu yetu ya Kiingereza.

Ikiwa unazungumza Kiingereza kidogo tu, mtihani utakuwa mfupi, kama dakika 30. Ikiwa unazungumza Kiingereza kingi, mtihani litakuwa ndefu, kama saa 1.

Tunasikitika. Ulezi wetu wa watoto umejaa. Hatuwezi kuchukua watoto wapya kwa sasa.

Je, unahitaji msaada?

Tafadhali tuma ujumbe kwa 571-766-8078 na jina lako.

FAIRFAX

Redeeming Grace Church

5200 Ox Rd, Fairfax, VA 22030

Ramani ya Google

Siku: Jumatatu, Jumatano, Ijumaa (siku ya kwanza, siku ya pili, Na siku ya Tano)

Muda: Saa Tatu unusu asubuhi – Saa Tano unusu asubuhi

Madarasa yanaanza: Septemba 14

Kozi zinamalizika: Januari 28

Hatutoi huduma ya malezi ya watoto katika eneo hili.

Maagizo ya Usajili ya Fairfax

Usajili wa madarasa utaanza tarehe 17 Agosti. Tafadhali rudi tarehe 17 Agosti ili kujisajili kwa madarasa. 

(1) Jaza fomu ya usajili wa wanafunzi.

(2) Tafadhali njoo kwenye eneo la Fairfax wakati wa mojawapo ya nyakati hizi ili kufanya jaribio la uwekaji na ukamilishe usajili wako.

Septemba 4, 9:30 – 11:30
Septemba 9, 9:30 – 11:30
Septemba 11, 9:30 – 11:30

Katika miadi, tutakuruhusu usome na kuzungumza kwa Kiingereza ili tujue ikiwa tuna darasa nzuri kwako. Pia tutakupa habari zaidi kuhusu programu yetu ya Kiingereza.

Ikiwa unazungumza Kiingereza kidogo tu, mtihani utakuwa mfupi, kama dakika 30. Ikiwa unazungumza Kiingereza kingi, mtihani litakuwa ndefu, kama saa 1.

Tunasikitika. Ulezi wetu wa watoto umejaa. Hatuwezi kuchukua watoto wapya kwa sasa.

Je, unahitaji msaada?

Tafadhali tuma ujumbe kwa 571-766-8078 na jina lako. Tutakusaidia kujiandikisha.